Kurasa za maisha: blogs list

Saturday, September 10, 2011

BREAKING NEWS: AJALI YA MELI ZANZIBAR

Ferry iliyobeba abiria zaidi ya 500 kutoka Zanzibar kwenda kisiwa cha Pemba imezama, watu zaidi  ya 350 WAHOFIWA KUPOTEA.

TAARIFA ZINASEMA:  FERRY ILIKUWA NA ABIRIA  ZAIDI YA  500. kamishina wa Polisi zanzibar Said Mussa Ali Mussa, amethibitisha. watu wanaokadiriwa kufikia 260 wameokolewa , idadi ya watu waliofariki bado haijathibitishwa.

Taarifa kutoka kwa Kamishina pia zinasema: kikosi cha uokoaji kipo kinafanya kazi nzuri, kwa kusaidiana na boti kadhaa za uvuvi. 

MUNGU 

IBARIKI ZANZIBAR,

MUNGU 

IBARIKI TANZANIA.


2 comments:

  1. Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi.. Ni pigo kubwa kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi.. Ni pigo kubwa kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

    ReplyDelete
  2. Kweli ni majonzi kwa Taifa letu lakini siachi kuitupia lawama serikali yetu kwa mifumo mibovu ya usafiri na uchukuzi.
    Waziri wa uchukuzi anasema nini kuhusu tukio hili?

    ReplyDelete