Kurasa za maisha: blogs list
BREAKING NEWS: AJALI YA MELI ZANZIBAR
Ferry iliyobeba abiria zaidi ya 500 kutoka Zanzibar kwenda kisiwa cha Pemba imezama, watu zaidi ya 350 WAHOFIWA KUPOTEA.
TAARIFA ZINASEMA: FERRY ILIKUWA NA ABIRIA ZAIDI YA 500. kamishina wa Polisi zanzibar Said Mussa Ali Mussa, amethibitisha. watu wanaokadiriwa kufikia 260 wameokolewa , idadi ya watu waliofariki bado haijathibitishwa.
Taarifa kutoka kwa Kamishina pia zinasema: kikosi cha uokoaji kipo kinafanya kazi nzuri, kwa kusaidiana na boti kadhaa za uvuvi.
MUNGU
IBARIKI ZANZIBAR,
MUNGU
IBARIKI TANZANIA.
Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi.. Ni pigo kubwa kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.Mungu azilaze roho za marehemu wote mahali pema peponi.. Ni pigo kubwa kwa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
ReplyDeleteKweli ni majonzi kwa Taifa letu lakini siachi kuitupia lawama serikali yetu kwa mifumo mibovu ya usafiri na uchukuzi.
ReplyDeleteWaziri wa uchukuzi anasema nini kuhusu tukio hili?